Natafuta kazi, Form VI leaver

Jmturu

Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
56
Reaction score
9
Habari zenu wanaJF? Narudi tena jamvini nikiwa ninahitaji msaada wa kibarua cho2te,najua humu ndani kuna wa2 tofauti tena ht kibarua cha kuuza duka mradi kipato as i am form six leaver. god blec u ol.
 
Chuo vip,au nawe ndo mmoja wa wahanga wa Heslb?
 
Majibu co mazuri ndugu yangu.
daaah pole sana ndgu ina mana majibu sio mazuri kushindwa kwenda hata ualimu????????????hebu tumia cheti cha form four uende ualimu certificate.
 
daaah pole sana ndgu ina mana majibu sio mazuri kushindwa kwenda hata ualimu????????????hebu tumia cheti cha form four uende ualimu certificate.
Sio kwa sasa,nimepanga kufanya schooling again next year,as now am home cpendi kuendelea kukaa kihasara2.
 
Kama upo arusha ama dar nenda shoprite au uchumi supermarket ukaombe kazi.
 
tafuta center yeyote upigishe tuition itakutoa sana kwa sasa.
 
kufundisha tution kutakusaidia kimapato. Fundisha mkuu tution mkuu!
 
kufundisha tution kutakusaidia kimapato. Fundisha mkuu tution mkuu!

tution inalipa kwa masomo ya sayans bt ka nae alikua ndo wale akna ce wazee wa HKL,atasubiri sana.
 
Chuo vip,au nawe ndo mmoja wa wahanga wa Heslb?
Duh! Wewe ni kiboko. Kwani kazi yako humu ni kuratibu elimu za watu wengine? Una kichocho cha ubongo, hakyanani vile. Inaonekana umesoma saaaana wewe, kiasi ubongo ukachoka sasa haufanyi kazi. Watu wa dizain yako wakiwa HR Dept kampuni itajaza watu wajinga tupu wanaowaza kama wewe kwa kutumia miguu. Huyu bwana hajasema anataka kuwa nani, kasema anatafuta kazi yeyote. Ukiona mtu amefikia kutafuta kazi yeyote maana yake amekwama sehemu fulani ktk mipangilio yake, sasa wewe mwenye mdomo shapu kuliko ubongo tayari umeshaanza kumkejeli kwa nini hajaenda chuo, hivi kwa vyeti vyako (nikikuuliza 'kwa akili yako' nitakuwa napoteza muda) unadhani mtu ambaye hajui atakula nini kesho atawaza kusoma au kula kwanza. Acha kimbelembele mtoto wa kike/kiume, kila mtu mipango yake ya kusoma anaijua mwenyewe. Angekuwa ameulizia form za nursery school ndio tungemkumbusha kuwa anatakiwa kwenda chuoni lkn swali alilouliza yeye jibu lake sio ulilotoa wewe. Huo ni ufukunyuku na kutafuta sifa tu, badilika
 
Habari zenu wanaJF? Narudi tena jamvini nikiwa ninahitaji msaada wa kibarua cho2te,najua humu ndani kuna wa2 tofauti tena ht kibarua cha kuuza duka mradi kipato as i am form six leaver. god blec u ol.

Mkuu,
Sa mbona hujatoa contacts zako, Unapatikanaje?
 
daaah pole sana ndgu ina mana majibu sio mazuri kushindwa kwenda hata ualimu????????????hebu tumia cheti cha form four uende ualimu certificate.

Hamnazo,,! umeambiwa ualimu wanaenda walofeli??
 
mh, mtu anashda ameweka tatzo lake, imegeuka mipasho, jaman sio fair, kama vp kuwa mwana taarabu. Cha msingi ungemulza contact then ndo umulze mambo ya ualimu, we unachopaswa kumsaidia ni kaz wala sio ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…