Hebu sema katika elimu yako ya f4 unaufaulu wa kiasi gani? hebu weka wazi, umri wako pia hapa.Naishi Mbezi kwa Msuguri,kwa kuwa soko la ajira ni gumu hapa Tz. Basi mwenye kibarua cha maana aniwezeshe i.e, kuuza duka,butcher,saloon,kazi za viwandani,na makumpuni binafsi au ya umma.
Tafadhali niko serious. Nimechoka kukaa kwa mtaa au Idle at home.
Naishi Mbezi kwa Msuguri,kwa kuwa soko la ajira ni gumu hapa Tz. Basi mwenye kibarua cha maana aniwezeshe i.e, kuuza duka,butcher,saloon,kazi za viwandani,na makumpuni binafsi au ya umma.
Tafadhali niko serious. Nimechoka kukaa kwa mtaa au Idle at home.
Form 4,,,,,,,
Mimi Chuo Kikuu nimeacha madegree kabatini, niko porin Selous kupasua mbao!!!!!!!
wewe rudi kijijini kalime bustani ya mboga mboga ..mjini huwezi kupata kazi kwa elimu hiyo ya form 4