Natafuta KAZI iringa

BAMIZER

Member
Joined
May 2, 2022
Posts
52
Reaction score
62
Kamwene vanyalukolo

Binti wa miaka 20 anatafuta KAZI yeyote iwe ndani ya mkoa WA iringa.

Original yake anatokea isimani

Elimu yake ni std7

Yupo very social and justice

Life style yake ni nzuri sana. Hana ulimbukeni na mambo ya mjini kwasabu amekulia kijijini.. Hana masuala ya club.vimini,madanga nk.. inshort huyu dada ni fursa unaweza ntumia kumake your business safe

Anaujuzi wa kushona lakini Hana mtaji ndo maana ameamua kuomba KAZI ili aendeshe maisha yake

KAZI yoyote anaweza kufanya mfano.duka,mgahawa,uwakala,nk

,,,,,,,,,Mimi niliye andika huu Uzi ni rafiki Ake coz yeye Hana smart phone, Mimi binafsi namuamini . ... Pia Nina Imani utafurahi Sana ufanyaji KAZI wake,



Mawasiliani wasap ni 0623377771
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…