UKWELIWANGU
Member
- Aug 11, 2011
- 82
- 5
ulispecialize ktk nini?mm ni kijana wa kitanzania. Ambaye nimemaliza DEGREE YA KWANZA MWAKA JANA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-LAAM.BCOM. ila daah? nime apply mpaka nimechoka ngoma bilabila. Ila bado najipa moyo kama alivyosema UPENDO NKONE.''NAJIPAMOYO''. Na naendelea kutumamaombi.

kwa sasa nipo bush najitolea katika NGOs kama MUHASIBU. nimeanza kujitolea APRIL 2011 MPAKA SASA NAENDELEA.

NAOMBENI WANA JAMII YEYETO ANAEWEZA KUNISAIDIA TUWASILIANE KUPITIA E-MAIL '' kkipengele @ yahoo.com''

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

thanx
ungejibu swali langu, kujieleza vizuri ni kupi ikiwa umedai unajitolea kama mhasibu, ninavyojua mimi Bcom yeyote anaweza fanya kazi ya uhasibu.nimejieleza vizuri tu ila kwa nyongeza ni mespecialize in ACCOUNTING
hao Access Bank lazima watakuwa na matatizo, kwanini waajiri watu kila leo? Kuhusu PWC na hao wengine sidhan kama unawafahamu vizuri, usimshutumu jamaa bure.unatakiwa ujisaidie, hakuna wakukusaidia jishike vizuri, utashikwa......! unaonekana si mtu wa kunetwork sana wewe au huwa hupendi kufuatilia mambo....UDSM pale huwa kuna waajiri kama PWC, deloitte, E&Y etc mkimaliza tu huwa wanakuja pale kurecruit vijana.....huwa hawaangalii GPA, kozi wala nini, unapiga Aptitude test tu...ukifaulu hiyo unaingia level nyingine za interview etc etc....wewe ulikuwa wapi hukuziona hizo?

Pili, Access Bank wanaajiri vijana kila leo tena any graduate kuwa credit officers, ukipeleka CV tu lazima uitwe tu.....wewe uko dunia gani bana? au unachagua kazi wewe?