B Baseba Member Joined Aug 24, 2011 Posts 32 Reaction score 1 Oct 17, 2011 #1 Nina uzoefu wa miaka 10 katika uhasibu. Nina bachelor of Accountancy toka IFM
Gavanor Member Joined Oct 15, 2011 Posts 60 Reaction score 3 Oct 17, 2011 #2 Hivi tangu ifm waanze kutoa bachelor miaka 10 imeisha fika kweli?
H hubiri b Member Joined Sep 15, 2011 Posts 16 Reaction score 1 Oct 17, 2011 #3 Gavanor said: Hivi tangu ifm waanze kutoa bachelor miaka 10 imeisha fika kweli? Click to expand... Inawezekana alisoma diploma kisha akafanya kazi, baadae akasoma tena bachelor
Gavanor said: Hivi tangu ifm waanze kutoa bachelor miaka 10 imeisha fika kweli? Click to expand... Inawezekana alisoma diploma kisha akafanya kazi, baadae akasoma tena bachelor