Natafuta kazi jamani

MALINI

Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
12
Reaction score
2
Jamani marafiki natafuta kazi ya receptionist au customer care au yoyote inayohusika katika ofisini. Elimu yangu ni ndogo tu ni certificate ya shipping and port operation. Napenda sana kujiendeleza lkn pesa ndio tatizo! Aliye na nafasi anisaidie nina ujuzi wa computer, naweza kuitumia vizuri sana kwa kazi za osisini.
asanten kwa hayo machache
 
nilishapeleka application na CV lkn sijapata bado
 
Tanzania Ports Authority wametoa matangazo mara kwa mara kutaka Port Attendants na Time Watchers kwa maoni yangu huwa hawapati right candidates ndio maana tangazo linajirudia mara kwa mara.

Jaribu kutafuta mawasiliano nao upate taarifa pindi wakiajiri
 
MH nafasi za pale bandari kazi sana kuzipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…