Thank you SIPO,kwa kunielewesha,nimeshawasiliana naedont display your phone number public ukifanya hivyo itakukost. Nenda kwenye profile yako tafuta sehemu ya 'send message' hiyo ndio kuPM ndugu yangu. Hutapata kazi wewe fanya bidii kuomba tu sehemu mbalimbali
Mi nigraduate kutoka cuo cha ustawi wa jamii. nilikuwa nachukua kozi social work. natafuta ka naomba nisaidieen
GP haya bwana kama unaajili naomba na mie niku-PMkazi umepata, ni-PM.(niko siriazi wakuu msianze kuleta makuzi)
GP haya bwana kama unaajili naomba na mie niku-PM