Natafuta kazi JF

Natafuta kazi JF

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Mbona JF hamtangazi kazi? Natafuta kazi Ofisi zenu za JF......kama vipi mnisaili hapa hapa....
Natanguliza shukrani za dhati.
 
kwel kaka kama vp weka cv yko hewan wadau 2ichambue 2one kma ikiwa nzur nasisi 2washawish jamaa wakuchukue
 
lol wakuu sina degree.....wengi mnanifahamu kwa tabia yangu ilivyo njema na mnyenyekevu hapa JF nipeni shavu kwa JF's Admins....hampendi na mimi nitumie blackbelly?
 
Nasikia Painkiller yupo kwenye kamati ya uajili...lol nshatemwa..
 
Yo Yo, hii Post ni wewe mwenyewe kweli umeituma au kuna mtu anakusaidia kwa kutumia ID yako?
 
Ndenda Mtaa wa IP,Barabara ya Domain gorofa ya 2 Shared computer peleka vyeti vyako!
 
Kama vipi njoo leta cv yako,niangalie kama unafaa kwa kazi za nyumbani
 
Nasikia Painkiller yupo kwenye kamati ya uajili...lol nshatemwa..

Dah,avatar yako nimeiona nikaanza kufuta screen ya computer yangu nikijua kwenye computer duh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom