Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika Bwana!? Najua mko katika mahangaiko.
Natafuta kazi zozote katika ukanda wangu huu wa Kanda ya ziwa, Nina ujuzi aina mbalimbali kama kazi za nje!? Kazi za nje kufyeka nyasi kulima nyasi, kukata miti na zozote zile za nje?
Pia kama una connection za viwandani napo pia hakuna shaka unaniunganisha tu, pia maofisini kazi za nje na ndani? Za ndani ofisini kufanya usafiri sehemu zote kufuta vumbi n.k
Na za nje ofisini kulima vilevile kukata nyasi na kuchomwa uchafu.
Jinsi ni Mwanaume
Elimu form 2
Nipo Mara ndugu zangu Asanteni