Kingo JF-Expert Member Joined May 12, 2009 Posts 856 Reaction score 395 Nov 26, 2012 #1 Wanabodi, natamani sana kufanya kazi mkoa wa Katavi. Mwenye links za huko anihabarishe. Kuhusu aina ya kazi, various - education, administration, banking, research, etc. A pm will be ideal.
Wanabodi, natamani sana kufanya kazi mkoa wa Katavi. Mwenye links za huko anihabarishe. Kuhusu aina ya kazi, various - education, administration, banking, research, etc. A pm will be ideal.