Natafuta kazi katika ma-benki jamani ebu nisaidieni ndugu zanguni!

Natafuta kazi katika ma-benki jamani ebu nisaidieni ndugu zanguni!

DONALD

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
275
Reaction score
35
Jamani wana ndugu,
kwanza nilikosea kidogo apo mwanzo,maana sehemu za nafasi za kazi mi ndo nimeweka Topic yangu ya Mahakama ya Kadhi,ebu nisameheni kwa hilo...

Lakini mi shida yangu kubwa pia niliyonayo ni kutaka kufanya kazi kwenye Mabenki(benki yoyote ile)
Maana ndugu zangu taaluma yangu ya banking inapotea buree kabisa (nina Advanced diploma in Banking and Finance graduated 2007/08)...nimeaply kwenye mabenki mpaka nimechoka...hivi wanaopata wanafanyeje..
Tafadhari naomba kampany yenu katika hili.....na ntashukuru sana kwa atakaye nisaidia!!!
big up kwa wote nnaotumia Jamii f....
Donald.

0714 345432..macdonaza@yahoo.co.uk
 
nunua gazeti la mwananchi la leo
 
kama upo nje ya nchi inabidi uje home kwanza, then utafute reffer au god father hii ndio style ya bongo. mwenzio nimerudi na mba na acca naambiwa sifai, kwanza umri umeenda kwani siku hizi watoto wa miaka 20 ndio heads wa depts kwenye makampuni na sasa ni miezi kama 7 nipo tu nazurura mtaani.
 
kaka pole sana kwanza hila out of curiosity we kweli masai au unazuga tu. kama kweli siunde tu karatu ukatoe somo la biashara maana mimi pia nimekimbilia dar hila sina mivyeti kama yakoo akina Mollel bado wanaitaji watu kama nyie kuwafunza elimu ya biashara nasi kuzunguka na n'gombe tu.
 
Pole sana kaka,
Inaonekana wewe ni mvivu wa kupitia web na magazeti.
Exim Bank na Access Bank wana recruit kila siku. Jaribu kupitia web zao.
other links like www.naombakazi.com na www.kazi999.com zitakusaidia pia.

MJOMBA MAGAZETI YA 100 yanatangaza waganga wa kienyeji tuuu.

NUNUA YALE YANAYOUZWA Tsh 1000 SIKU HIZI , WAWEZA BAHATIKA.

Regards.
 
Back
Top Bottom