Natafuta kazi mimi nimesoma education duce

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
Jamani naomba kupata taarifa za kazi zinazohusiana na education popote pale Tanzania...........
 
Subiri wizara itatoa nafasi za kaz ndugu yangu pia mbona mashule mengi sana
 
Nenda Wizarani watakupangia shule za kata ziko kibao hazina walimu.
 
education mbona unasubiri tu location na sio kutafuta kazi
 
Kazi zipo nyingi hasa za Ualimu. Wanahitajika sana hasa vijijini wanakopakimbia wengine. Embu nenda wizara ya mafunzo na ufundi pale kama hawajakupa kazi.
 
Shule yetu ya Kata kule Makete haina walimu, kama uko tayari sisi tutakuchangia nauli ya kwenda huko, sisi tutakwenda wizarani wenyewe kuomba ili uanze january kufundisha kule kwetu.
 
Shule yetu ya Kata kule Makete haina walimu, kama uko tayari sisi tutakuchangia nauli ya kwenda huko, sisi tutakwenda wizarani wenyewe kuomba ili uanze january kufundisha kule kwetu.

Acha kumtisha
 
Dah we malila una dhambi kweli nyinyi mtamchangia nauli au sio hahaaa
 
ASANTE KWA KUONYESHA MOYO WA UZALENDO...... je unatafuta kazi ya ualimu au nyingine?
 
Mkuu usijilimit kwa ualimu tu hata fani nyingne we zamia tu. Kazi ni kazi bwn hali mradi uwe kwenye payroll. Nakushauri pia uangalia na banks kama access bank,advans bank,akiba kwani sometimes wanaandika "any discipline" utafanikiwa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…