Mimi ni kijana ninaemaliza masomo nje ya nchi. Nachukua ACCA, equivalent to CPA ya bongo but internationally recognized, na nategemea fanya my final exams Dec. hii. Yaani ni juu ya BCom. Sina experince. Nimeondoka bongo muda, sina network yoyote nikirudi. Msaada wenu nianzie wapi, ni approach vp utafutaji kazi nikirudi. Msaada jamani!
Watu wanetisha bongo kazi mpaka kujuana. Msaada wowote wa maarifa,ushauri nk. nitashukuru sana. Thnx

Wewe unatafuta kazi hiyo ACCA hujamaliza maana huna hakika nini kitafuata hiyo December unaweza usitoke pia. Maliza shule taja CV yao.Yaani! nimesubiri ushauri wa JF wa kutafuta kazi mpaka nikakata tamaa. Nashukuru kwa waliochangia na yoyote ataendelea kuchangia. Ushauri na michango ya ziada, nashukuru daima. Many Thnx