Natafuta kazi mtaalamu sina cheti chochote

Ajira za bongo ni vyeti siyo ujuzi,mimi nakushauri ujiajiri hao wenye vyeti watakuja ofisini kwako uwape darasa watakulipa.
 
kwa hyo unataka mbunge wake akamnunulie vyeti au?
soma kwa umakin kamshauri aombe mtaji ajiajiri kumbuka waziri mkubwa alisema posho uwawanazi2mia kutoa misaada! Na mtoa mada anashida pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…