Natafuta Kazi mwenye connection yoyote ya kazi sehemu yoyote Tanzania

Natafuta Kazi mwenye connection yoyote ya kazi sehemu yoyote Tanzania

baggio23

New Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
3
Reaction score
2
Habarini ndugu zangu

Nipo hapa natafuta kazi yoyote viwandani, ofsini au mashirika yani popote pale penye kazi halali ya kutumia nguvu au akili, niko kwenye hali ngumu sana ya kimaisha, niko kwenye kipindi kigumu sana na kielimu nina degree ya Geography na Environmental studies niliyomaliza Chuo Kikuu cha Dodoma

Naombeni yeyote mwenye connection ya kazi jamani tusaidiane, nimerudi mkoani Kilimanjaro lakini niko tayari kufanya kazi sehemu yOyote Tanzania

Tuwasiliane wadau Simu ziite ndugu zangu namba yangu ni hii 0741178917 ..
 
Back
Top Bottom