Sina uhakika kama yuko serious ama ameamua kufurahisha jukwaa, nimejaribu kupitia hiyo CV inaonekana ana miaka 15, ikiwa na maana bado ni mtoto huyo, katika CV yako umeonyesha kwamba ulifaulu form 4 kama uko serious sema kiwango cha ufaulu wako waweza pata msaada wa kwenda form 5 kama uko tayari