Natafuta kazi Ndugu zangu

Natafuta kazi Ndugu zangu

emanuel servi

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Habari Ndugu zangu Naitwa
Emanuel Natafuta kazi Nimesoma
mambo ya IT KWA level ya certificate'
 
Kasome Diploma ya IT then nenda Police unatapata kazi fasta.
 
Kama unauwezo endelea na shule usiwe na pupa ajiri hazilipi now dayz,so jipange kujiajiri.
 
ajira siku hizi ngumu kweli,kama una laptop nenda pale kariakoo uwe unafanya biashara ya kuingiza nyimbo kwenye simu inalipa kishenzi @ music 300
kuliko kukaa nyumbani ata hela ya vocha huna
 
endeleza elimu jisomee sana alafu usitafute kaz tu pia anika vitu unavyoweza kuvifanya ktk IT ujtangaze, kuwa FREELENCER.. google sana ukutane na wana IT Wenzako online utapata deal nyingi..jiunge na GOOGLE PLUS pia
 
Back
Top Bottom