barbieloree
Member
- Jan 2, 2024
- 35
- 91
Mkuu kilimo kinapanda mwenzio napiga jembe mwanzo mwisho porini huku mjini nanusa tu lakini miezi minane yote kwenye mwaka namalizia porini liwale huku,nanjilinji maeneo yapo kibao mapori ya kutosha kabisaaa your welcome 🤗.Habari wana JamiiForums.
Natafuta nafasi ya kazi yoyote nitakayopewa kulingana na uwezo wangu. Kwa sasa sina ujuzi maalum wa kitaalamu, lakini niko tayari kujifunza, kufanya kazi kwa bidii na kufuata maelekezo.
Nipo Dar es Salaam na niko tayari kuanza kazi mara moja.
Kama kuna mtu anajua nafasi ya kazi au kampuni inayohitaji mtu wa kuajiriwa, naomba mnisaidie kwa mawasiliano.
Asanteni sana
Vipi kazi ya ulinzi unaweza Mkuu
C umesema kazi yoyote wewe, mbona sasa unakataa ulinzi??Apana kaka
Anachagua me nimemwambia huku maeneo yapo shazi aje tukomae hajasema kitu labda anataka kazi za kitozi za kupiga nazo picha ili apostC umesema kazi yoyote wee, mbona sasa unakataa ulinzi??
Sawa MkuuApana kaka
Una elimu gani ??
C umesema kazi yoyote wee, mbona sasa unakataa ulinzi??
Anachagua me nimemwambia huku maeneo yapo shazi aje tukomae hajasema kitu labda anataka kazi za kitozi za kupiga nazo picha ili apost
Nicheki Dm ndugu yangu tuongee vizuriHabari wana JamiiForums.
Natafuta nafasi ya kazi yoyote nitakayopewa kulingana na uwezo wangu. Kwa sasa sina ujuzi maalum wa kitaalamu, lakini niko tayari kujifunza, kufanya kazi kwa bidii na kufuata maelekezo.
Nipo Dar es Salaam na niko tayari kuanza kazi mara moja.
Kama kuna mtu anajua nafasi ya kazi au kampuni inayohitaji mtu wa kuajiriwa, naomba mnisaidie kwa mawasiliano.
Asanteni sana
Tukomae wa
Sometimes, understanding is not the issue, respect is. I’ve already made myself clear, so I’ll leave it there.Tukomae wapi
Kumbe mrembo hukosi kazi nawajua hawa jamaa wa humuNdio lakini sio ya ulinzi me wa kike na 24 sijawahi pita hata mgambo nawezaje kulinda hizo mali za watu kiasi hicho
Alafu ukiwa unatafuta kazi usiseme huna ujuzi wowote.Ndio lakini sio ya ulinzi me wa kike na 24 sijawahi pita hata mgambo nawezaje kulinda hizo mali za watu kiasi hicho
Wazo zuri sana sasa kama hana elimu yoyote na ujuzi hana alikua wapi kipindi chote hicho labda kama alikua nyumbani inabidi kinamuda jichanganye sema hata nilikua MHUDUM wa hoteli ila Kwa sasa sitaki hiyo kaziAlafu ukiwa unatafuta kazi usiseme huna ujuzi wowote.
Kazi ambazo ziko na zinapatikaa kwa wingi ni za Sales.
Sasa uwe unasema kuwa unaweza kufanya sales and marketing.
Wakikuuliza sales zipi au wapi utasema kuwa ushawah kuuza Duka (liwe la Mangi, nguo au vipodozi), au ushawah kufanya kazi za uwakala na miamala ya simu, nk.
Kwahiyo jifunze na jifanyie mazoezi eneo hilo.
Lakini usiseme Huna ujuzi wowote.
sawa mdogo wangu?. barbieloree