Natafuta kazi, Nimesomea Animal Health and Production

Natafuta kazi, Nimesomea Animal Health and Production

Jeorpa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
317
Reaction score
160
Habari, naitwa Hamis,

Nimehitimu mafunzo ngazi ya diploma kozi ya Animal Health and Production.

Naomba mwenye nafasi ya kunitafutia mwenzenu kazi ya kujiitolea kwanza kwenye.

Makampuni yanayo relate na Animals ntashukuru sana.

Simu namba 0627544910.

Location Bagamoyo Pwani
 
Hongera..ingia front...kufanya kazi...tafuta ma vet wazoefu jiattach nao ufanyekazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Serikali si ilitangaza Ajira 400 za mabwana Mifugo kjna..?
 
Back
Top Bottom