Kuna post zimetoka leo TBC, jaribu kucheki.Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari.
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya.
Asanteni π
Nilitaka nigusie hapa hapaKuna post zimetoka leo TBC, jaribu kucheki.
Kabisa Mkuu nafasi Nane nyingi, ajaribu.Nilitaka nigusie hapa hapa
Ajaribu bahati yake, kwa kuingia Ajira Portal nafasi 8 ni nyingi
23, account Yangu ya mwanzo iliibiwa so nikaanza upyaUna followers wangap Instagram!