Natafuta Kazi, nina Astashahada ya Mipango Miji

Natafuta Kazi, nina Astashahada ya Mipango Miji

Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum,

Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32.
Ulijaribu kuomba hizi nafasi za utendaji wa Kijiji zilizo tangazwa hivi siku za karibuni kupitia ajira Portal maana huwa zinahitaji watu wa certificate pia Bado zinaendelea kutangazwa Kila siku.
 
Back
Top Bottom