classical pastoree New Member Joined Oct 20, 2016 Posts 2 Reaction score 3 Aug 23, 2024 #1 Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum, Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32.
Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum, Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Aug 23, 2024 #2 Jaribu kufanya biashara
U uswekweni Senior Member Joined Aug 21, 2024 Posts 141 Reaction score 195 Aug 23, 2024 #3 Fursa kibao zinatangazwa kupitia ajira portal huzion? Elezea vizuri in certificate ya nini..
M Mkushi w jani JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 1,798 Reaction score 1,570 Aug 23, 2024 #4 classical pastoree said: Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum, Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32. Mawasiliano yangu ni 0787414551 Email:peterpastory9@gmail.com Click to expand... mkuu mipango iyo nin?
classical pastoree said: Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum, Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32. Mawasiliano yangu ni 0787414551 Email:peterpastory9@gmail.com Click to expand... mkuu mipango iyo nin?
G Great45 Member Joined Aug 15, 2024 Posts 9 Reaction score 7 Sep 3, 2024 #5 classical pastoree said: Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum, Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32. Click to expand... Ulijaribu kuomba hizi nafasi za utendaji wa Kijiji zilizo tangazwa hivi siku za karibuni kupitia ajira Portal maana huwa zinahitaji watu wa certificate pia Bado zinaendelea kutangazwa Kila siku.
classical pastoree said: Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum, Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32. Click to expand... Ulijaribu kuomba hizi nafasi za utendaji wa Kijiji zilizo tangazwa hivi siku za karibuni kupitia ajira Portal maana huwa zinahitaji watu wa certificate pia Bado zinaendelea kutangazwa Kila siku.