Kila la kheriHabari Member wa Jf
Mimi ni Kijana kutokea Mbeya (29) nina Shahada ya Uchakataji na Uchenjuaji Madini
(Metallurgy and Mineral Procesing Engineering)
Ambapo naweza kufanya kazi kwenye:
- Migodi (Plant), Viwandani pamoja na kwenye maabara za madini.
Pia nina ujuzi katika field nyingine kama:
- Computer application pamoja na Graphic designing.
- Uzoefu kwenye industry ya mining (Small scale) - mwaka 1.5
Yeah, ipo Coet - Udsm na Pia Udom, mi nimepiga Udom pale.Hii kozi ilikuwa pale COET Bado ipo?
Kuhusu kazi ,utapata tu ila kama utaamua kuwa punda ,tembeza CV, tuma sana CV kila siku angalau sehemu hata 5 per day
Cha kwanza mtangulize Mungu kwa Iman unapata
Naimani utapata mkuu, Mimi nimepiga mechanical engineering,ila kwasasa huwezi kuaminika kuwa ni electrical engineer kwenye taasisi kubwa tu,Yeah, ipo Coet - Udsm na Pia Udom, mi nimepiga Udom pale.
Nashukuru pia kwa ushauri huo..!
Ulifanyaje hadi ikashift ndugu ni private au gvnt?Naimani utapata mkuu, Mimi nimepiga mechanical engineering,ila kwasasa huwezi kuaminika kuwa ni electrical engineer kwenye taasisi kubwa tu,
Niliamua kuendana na Hali halisi,
Hapana kaka ni government ila ya mkataba wa kila mwaka ,walihitaji electrical au mechanical ila afanye majukumu hasa ya umeme , nilishindana na WA umeme nikawashindaUlifanyaje hadi ikashift ndugu ni private au gvnt?
Hongera sana kaka kwa uthubutu.Hapana kaka ni government ila ya mkataba wa kila mwaka ,walihitaji electrical au mechanical ila afanye majukumu hasa ya umeme , nilishindana na WA umeme nikawashinda
Kwenye kazi sasa majukumu mengi ni ya umeme ,nashukuru Mungu nilikuwa na basic kidogo sana ya umeme ,hivo nilibidi nisome zaidi hasa YouTube,ndani ya miezi mitatu nikamasta vingi, now nashika project kubwa na zinaenda vzr sana ,
Hata WAKUBWA wanajua ni electrical engineer but Mimi ni mechanical engineer
Shukran kaka ,naimani jamaa atapata najua Hali anayopitia ,ahakikishe kila siku anamtanguliza Mungu wake ,pia atume maombi kila siku ,atapata tu pia afanye msako wa kutembea kwenye makampuniHongera sana kaka kwa uthubutu.
🙏🙏🙏Shukran kaka ,naimani jamaa atapata najua Hali anayopitia ,ahakikishe kila siku anamtanguliza Mungu wake ,pia atume maombi kila siku ,atapata tu pia afanye msako wa kutembea kwenye makampuni
Hawezi kukosa kazi za supervisor, workshop manager ,n.k
Binafsi nilifikia Hadi kuwa manager wa kampuni ya madini ,kampuni binafsi