Ndugu wanajf mm nina certificate ya general agriculture hivyo basi nahitaji kupata kazi mahali popote hapa tz katika makampuni na mashirika yanayohusiana na kilimo na mifugo
Ndugu wanajf mm nina certificate ya general agriculture hivyo basi nahitaji kupata kazi mahali popote hapa tz katika makampuni na mashirika yanayohusiana na kilimo na
Acheni kumkatisha tamaa mm ninalipwa huo mshahara c mbaya sana
Nani anaekuspai yeye mwenyewe ndio alie andika hayo hapo juu. Ila Tazama gazeti la mwananchi la yrh 19/14/2012 kuna tangazo linalohusiana watua wa kilimo.