ShL Member Joined Apr 7, 2021 Posts 56 Reaction score 124 Aug 31, 2025 #1 Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie Nipo Dar es salaam Simu: 0779724159
Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie Nipo Dar es salaam Simu: 0779724159
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,864 Aug 31, 2025 #2 Dua...
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 6,168 Reaction score 15,748 Aug 31, 2025 #3 Kwa nini usifungue ofisi yako mwenyewe??
KuniMbichi JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 249 Reaction score 359 Aug 31, 2025 #4 Utapata sogea sogea kwenye fremu za wanasheria wengine ujichanganye hata kwa kujitolea tu
ShL Member Joined Apr 7, 2021 Posts 56 Reaction score 124 Aug 31, 2025 Thread starter #5 Nyafwili said: Kwa nini usifungue ofisi yako mwenyewe?? Click to expand... Sina muhuri Nyafwili said: Kwa nini usifungue ofisi yako mwenyewe?? Click to expand...
Nyafwili said: Kwa nini usifungue ofisi yako mwenyewe?? Click to expand... Sina muhuri Nyafwili said: Kwa nini usifungue ofisi yako mwenyewe?? Click to expand...
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 6,168 Reaction score 15,748 Aug 31, 2025 #6 ShL said: Sina muhuri Click to expand... Serikali inahitaji nini mpaka ikupe ruksa ya kukabidhiwa muhuri??
ShL said: Sina muhuri Click to expand... Serikali inahitaji nini mpaka ikupe ruksa ya kukabidhiwa muhuri??
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Aug 31, 2025 #7 Nyafwili said: Serikali inahitaji nini mpaka ikupe ruksa ya kukabidhiwa muhuri?? Click to expand... Anatakiwa apite TLS
Nyafwili said: Serikali inahitaji nini mpaka ikupe ruksa ya kukabidhiwa muhuri?? Click to expand... Anatakiwa apite TLS
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 6,168 Reaction score 15,748 Aug 31, 2025 #8 Red black said: Anatakiwa apite TLS Click to expand... Mambo ni mengi sana,
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,508 Reaction score 23,368 Aug 31, 2025 #9 Mkuu umeandika nini!? Hiyo TLS ndo kitu Gani,Mimi nadhani anatakiwa kupitia law school Red black said: Anatakiwa apite TLS Click to expand...
Mkuu umeandika nini!? Hiyo TLS ndo kitu Gani,Mimi nadhani anatakiwa kupitia law school Red black said: Anatakiwa apite TLS Click to expand...
N Nilipe nisepe JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,467 Reaction score 3,496 Aug 31, 2025 #10 Mkuuu kila la heri lakini ukikosa kabisa uje tusogeze na boda bodaa kitaaa..