Mi naitwa Erick natafuta kazi nimesomea diploma in computing and information technology na ndo nimemaliza mwaka jana mwishon,nilibatika kupata experiance kwenye sehemu kadhaa.nimeambatanisha CV yangu mtu yeyote anayeweza nisaidia anaweza isoma nakuwasiliana na mimi hata kwa ushauri,no.0714 121285.Asanteni wote