Natafuta kazi nina masters ya water Engineering

engineerm

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
106
Reaction score
19
Wakuu nina masters ya water Engineering toka ughaibuni,sasa baada ya kutua bongo,sijui bado michongo ya kazi inakuwaje,Please anayeweza kunipa hata ushauri nianzie wapi ani-PM manake sielewi haya mambo yatakuwaje.Naomba msaada wakuu.
 
Hizi WASA WASA zinakuhusu sana ebu anza na DAWASA kisha IRUWASA etc
 
mimi nina masters ya water engineering pia, nina 2 year kwenye game lakutafuta kibarua.
ikishindikna anzia ERB wakuregiste kam aengineer
 
Wakuu nina masters ya water Engineering toka ughaibuni,sasa baada ya kutua bongo,sijui bado michongo ya kazi inakuwaje,Please anayeweza kunipa hata ushauri nianzie wapi ani-PM manake sielewi haya mambo yatakuwaje.Naomba msaada wakuu.

Nina uzoefu wa kutafuta kazi kwa miaka mi3 sasa, sample za Cv 18, Application 27 na Statement of Purpose 21 na cha kushangaza nilitumia Burchelor nikakosa. NIkatafuta CPA hadi nimepata na bado nasugua Bench ila maisha ndo hayahaya njoo nikupe maujuuzi ya kitaa ni elimu ya PhD sema hakuna Thesis ( Xcul after School)....
 
labda ndio maana unakosa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…