David Kilas
Member
- Nov 29, 2020
- 14
- 15
Habari.
Naitwa DAVID BENJAMIN KILAS. Nina umri miaka 25 na ni mkazi wa Mbeya mjini.
Nimehitimu chuo kikuu IFM kilichopo posta Dar es salaam na kutunukiwa degree ya Social Protection and Actuarial Studies.
Baada ya kuhitimu nilifanya internship fupi ya miezi 8 na baada ya hapo nilianza kutafuta kazi.
Mimi ni expert katika social security laws, labor laws, research, Tax management and Community Development.. Lakin pia Nina a wide knowledge katika microfinance services, banking services and basic knowledge katika biashara.
NI mwanachama pia wa board ya Taifa ya mitihani ya biashara ( NABE )..Kwa sasa naishi Mbeya na ninatafuta kazi.
Ideally napendelea kufanya kazi hapa hapa Mbeya lakin pia naweza kufanya kazi sehemu yoyote Tanzania..
Namba yangu 0783367426/0766542373
Email: davidkilasbenjamin@gmail.com.com. Asanteni