Nina shida na natafuta kazi, nina Certificate of Achievement, natafuta kazi ya counter (nina uzoefu), duka la simu au la nguo (accessories) kwa mwenye connection please anisaidie.
Habari za muda huu wana jf, nina shida na natafuta kazi, nin certificate of achievement, natafuta kazi ya counter(nina uzoefu), duka la simu au la nguo(accessories)kwa mwenye connection pls anisaidie.