Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

HAMESS

Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
16
Reaction score
21
Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis, mwenye umri wa miaka 24, mwenye makazi ya mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni.

Elimu yangu ni Ngazi ya cheti pia ni muhitimu muhitimu katika chuo kikuu Cha Dar Es Salaam Maritime Institute mwaka huu wa masomo wa mwaka 2024 katika level ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani[ PROCUREMENT, LOGISTICS AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT. ]

Ninauzoefu wa kufanya mauzo pia kufanya kazi katika maduka ya mauzo pia sales Kwa ujumla, pia kusimamia mienendo yote ya mauzo pia, nimewahi kufanya kazi katika harmashauri ya manispaa ya Ilemela mkoani mwanza wa kipindi Cha miezi 2, katika uuzaji wa Mali za wizara Kwa njia ya zabuni, pia kutekeleza manunuzi ya bodi ya zabuni ya wizara, pia, ninauzoefu wa kutumia kompyuta Kwa usahihi na sawasawa.

Hivyo ninaweza kufanya kazi katika kada au mazingira mbalimbali na tofautitofauti kutegemeana na matakwa ya mwajiri, hivyo ninaweza fanya kazi katika maduka ya mauzo, na sehemu zote ambapo zinafanyika mauzo.

Mbali na hapo , yaani uzoefu na sehemu tajwa hapo juu, pia, ninaweza fanya na kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali tofauti na kada yangu au fani yangu na elemu yangu pia Kwa ujumla

Ni matumaini yangu Wana JamiiForums mtaweza kunishika mikono na kuweza kunisaidia, nikiwa kama kijana mwenye malengo.

Kwa Mawasiliano zaidi
0699033664 or
0616564056 or by email
hamismahujaji6456@gmail.com
 
Kama ukiajiriwa unataka ulipwe mshahara kiasi gan

Kulingana na aina ya kazi au mwajiri kaniajili kada ipi ya kazi hapo ndo taweza kusema
Au wewe ulikuwa unataka kuniajiri unambie ni kada ipi theni ndo naweza kusema au kukwambia Kwa usahihi zaidi🙏🙏
 
Hapo ni typing error TU kiongozi nilitaka kusema mauzo Kwa ujumla ko ni sales
Sorry kama nitakuwa nimekuchanganya🙏🙏
Ko ❌
So✔️

Usijali, unaweza kufanya kazi nje ya dar. Hasa kazi za mkataba, performance yako ndio itakuhakikishia ku renew contract au laa. Unaweza?
 
Mkuu, ww sema tuu unaomba kazi, hayo mambo ya kazi halali muachieni Mungu tuu
 
Back
Top Bottom