Natafuta kazi nipo Songea mjini, nimesomea Ualimu ila nipo tayari kwa kazi ya nje na nilichokisomea

Natafuta kazi nipo Songea mjini, nimesomea Ualimu ila nipo tayari kwa kazi ya nje na nilichokisomea

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Bila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie.

Asanteni
 
Unaweza kufanya kazi za sales?? Door to door sales to be precise. Unalipwa kwa commission.
 
Back
Top Bottom