VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Nicheki mkuuBila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie.
Asanteni
Bila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie.
Asanteni
Unapatikana wapi??Unaweza kufanya kazi za sales?? Door to door sales to be precise. Unalipwa kwa commission.
Unapatikana wapi...Unaweza kufanya kazi za sales?? Door to door sales to be precise. Unalipwa kwa commission.
Unafundisha masomo ganBila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie.
Asanteni
geography na englishUnafundisha masomo gan
ipo maeneo gan? wa mchana au usiku?Kuna ya ulinzi