Natafuta kazi: Personal secretary/ au Administrative assistant

Natafuta kazi: Personal secretary/ au Administrative assistant

blue eyez

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
8
Reaction score
1
Habari za jioni wadau.

Kama kichwa cha bandiko kinavyojieleza hapo juu, tunatafuta nafasi tupu ya kazi (preferably in Arusha) kwa ajili ya mdogo wetu aliyemaliza Kozi yake ya Diploma ya Uhazili katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Tabora, Novemba 2011.

Kwa yeyote mwenye taarifa juu ya nafasi tupu ya kazi iliyotangangazwa tunaomba msaada wakuu ili tuweze fanya taratibu za kutuma maombi.

Tunawashukuru nyote kwa muda wenu.

Tunawasilisha.





Novemba 2011
 
ok,jaribu kupeleka Cv katika kampuni za utalii hapa mjini tapata tu
 
Back
Top Bottom