1.Pesa
Au
2. Ujuzi
Au
3.Uzoefu
Au
4.Nguvu zako
(Mtaji wa masikini ni nguvu zake)
Au
5.Elimu
Au
6.Uaminifu
Au
7. Watu unaofahamiana nao
( Your networks)
Au
8. Vinginevyo
Mtaji sio pesa peke yake kama tunavyotafsiri wengi wetu
Binafsi nimeona baadhi ya watu wamefanikiwa kwa kutumia mitaji mingine tofauti na pesa, ila wametokea familia masikini sana
Wenye maarifa ya kujiajiri tusaidieni mawazo kupitia huyu mtu wengi tunahali hii wengine tunashindwa hata kuomba kazi humu ninaimani kazi watu wanazo tatizo mtu atakuminije Kama hakujui uaminifu umekuwa tatizo Kama kunamtu anatamani apate mtu wakumsaidia mawazo namna yakujikwamua mm nahitaji sana 0755918095