Natafuta kazi(temporary job)

Natafuta kazi(temporary job)

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
Mimi ni kijana wa miaka 19 na nimemaliza masomo yangu ya kidato cha 6 february mwaka huu,kutokana na ugumu wa maisha bila pesa na pia kuepuka vishawishi vinavyo jitokeza mtu anapo kaa bila kazi nimeamua kutafuta tempo ili niweze kujikimu kwa muda huu ninapo subiria kwenda chuo..mimi ni mkazi wa arusha na ningependelea kazi nifanye hapahapa arusha...naombeni msaada wenu wana jamvi wenzangu..
 
Pole sana haya mambo magumu sana siku hizi, nakushauri kama unaujuzi kidogo wa kompyuta kaombe kufundisha katika vyuo hivyi vidogo vya kompyuta pia nenda kwa wakuu wa shule za academics za primary na secondary na jioni fundisha tuition.
 
Back
Top Bottom