Mimi ni kijana wa miaka 19 na nimemaliza masomo yangu ya kidato cha 6 february mwaka huu,kutokana na ugumu wa maisha bila pesa na pia kuepuka vishawishi vinavyo jitokeza mtu anapo kaa bila kazi nimeamua kutafuta tempo ili niweze kujikimu kwa muda huu ninapo subiria kwenda chuo..mimi ni mkazi wa arusha na ningependelea kazi nifanye hapahapa arusha...naombeni msaada wenu wana jamvi wenzangu..