Natafuta kazi wana JamiiForums. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani

HAMESS

Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
16
Reaction score
21
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Mkazi wa Kigamboni. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani [ procurement, logistics and supply chain management]

Kutokana na changamoto za kimaisha imenibidi kutafuta kazi na siyo kuajiliwa tenah, hivyo nilikuwa naomba kazi, mwenye connection ya kazi aweze kunielekeza sehemu inapopatikana
Nikiwa kijana mwaminifu mwenye kufanya kazi kwa juhudi na kufuata taratibu na misingi ya mwajiliwa naweza kufanya kazi katika sehemu

- mauzo katika maduka, hoteli na sehemu mbalimbali ambapo naweza patiwa nifanye

- kuhudumia wateja sehemu kadha wa kadha kama hotelini supermarket na sehemu takayopangiwa na mwajili​
    • hotelini
    • pia, naweza kufanya kazi yoyote ile iliyo halali ambayo tapangiwa na mwajili kwa kufuata misingi , kanuni na taratibu za mwajili ili kuweza kufikia malengo ya mwajili



Ahsanteni kwa muda wenu kwawkunisikiliza na nimatumaini yangu in shaa allah tapata ndani ya jukwa hili la JAMIIFORUMSπŸ™πŸ™

Kwa mawasiliano zaidi

Email hamismahujaji6456@gmail.com

Contact 255 699033664
#NATAFUTA KAZI#
 
Allaah ajalie kheri upate kazi nzuri , aamiyn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…