Natafuta kazi ya Accountant, Cashier au Customer Services

Natafuta kazi ya Accountant, Cashier au Customer Services

mawenze

Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
30
Reaction score
65
Hello mimi ni binti wa miaka 23 nimehitimu chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka jana 2024 Bachelor of Commerce in Accounting. Mimi kama kijana nahitajii kazi ili niweze kutimiza ndoto zangu maana saizi nipo tu nyumbani roho inaniuma sana naombeni msaada wenu kwa atakayeguswa na hili.

Asanteni sana: 0713776534
 
Fanya mpango ujitolee kwenye ofisi au kampuni za watu ili upate ujuzi. Lakini pia pambana na eneo la mahusiano utafute ndoa. Kazi hadi uje kusettle upate mshahara mzuri ni kuanzia miaka 3 hadi 6 huko. Umri utakuwa umeenda sana.
 
Back
Top Bottom