Natafuta kazi ya assistant library

sabas mamiro

Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
8
Reaction score
0
kwa yoyote anayefahamu kazi hiyo inapopatikana anitaarifu muda wowote nipo tayari!
 
Ok,elezea vizuri,cheti kwa upande wa library au fani ipi?jaribu kuwa wazi
 
Umesoma wapi? Weka hapa cv yako vizur,i mean jielezee vizur usaidiwe,wewe uko wapi kwa sasa?
 
Unaonyesha hata hicho cheti umepata kimagumashi tu coz hata kujielezea hujui. Ni Assistant Librarian siyo Library assistant lol. Kwanza hiyo elimu ni ndogo sana, kwa nini usiende bagamoyo kufanya diploma?
 
Sio vizuri kubisha na kukosoa kitu ambacho wewe huna uhakika nacho, kule University of Dar es Salaam Library Services kuna watumishi wanye vyeo vya Library Assistant, Senior Library Assistant II na Senior Library Assistant I kwa wenye elimu ngazi ya cheti. Unaposema Librarian au Assistant Librarian unapoongelea ngazi ya Stashahada na Shahada.
 
sawabho wewe ndio mtu katika watu ingawa mpo wachache.thanx bro! Achana na huyo mwehu bhbm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…