Wana jf naomba msaada wenu natafuta kazi hasa ya serikalini kwa nafasi ya community development officer.mwenye kujua zaidi au ana hints za kazi hiyo naomba anisaidie.Nitashukuru sana
nilisoma certificate of community development Buhare musoma, Diploma in social work and social administration- Bugema university-Uganda na Bachelor of development studies palepale Bugema university-Uganda
Kuwa mpole na mvumilivu ila unaweza kuomba katika NGOs kwa muda huu ili siku ziende coz kwa mwaka huu Serikali haikuajiri watu katika halmashauri kwa hiyo kada yako maybe mwaka ujao wa fedha
Usipopata kazi katika izo NGO's, jaribu kuwaomba upige intern , au upige volunteering.
CV itapendeza, na pia muda wako hautapotea bure. Japo HUTALIPWA.
Ila mkuu unalaza damu mbona kila siku humuhumu nafasi zinatoka huombi? usiogope kujaribu kuomba hata ukiona wanataka uwe na experience na mbwembwe nyingine just go for it and trust yourself