Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 54
C ukawe bank teller mkuu,au nayo umekosa?
we senetor upo nchi gani? Kumbuka huyo jamaa yupo Tz
niko bongo mkuu..kwan bank teller nayo wanabana?
C ukawe bank teller mkuu,au nayo umekosa?
Kuna watu humu ndani hawako serious kabisa,mtu anaomba ushauri we unaleta utani,kazi unayoweza kufanya ni za NGO kwa sasa coz Serikali haikuajiri mwaka huu nafasi za Maendeleo ya Jamii hadi next year
kwan m2 mwenye hyo degree hawezi kuwa teller?
Wakuu naombeni msaada wenu.Natafuta kazi ya Community Development Officer.Nina Certificate in Community Development,Diploma in Social Work and Social Administration na Degree ya Development Studies.
Naombeni msaada wenu wakuu