Natafuta kazi ya dukani

Natafuta kazi ya dukani

Nuru Godson

New Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
3
Reaction score
1
Habarini ndugu zangu, kwa majina naitwa Nuru, mkazi wa Dar es salaam, Kimara Korogwe.

Natafuta kazi ya dukani, nina uzoefu nayo, nimefanya sehemu tofauti tofauti. naombeni mnisaidie ndugu zangu.
 
Sasa hizo sehemu tofauti baadaye zikawaje ama uliwapiga,
Dukani yaani mtu akuweke dukani ama uwe unakaa nje ivi Kama kutoa mzigo nje na kuirudisha, Kuna jamaa hapa akaibiwa na mtu kwa miamala alimpa kijana kazi,
 
Habarini ndugu zangu, kwa majina naitwa Nuru, mkazi wa Dar es salaam, Kimara Korogwe.

Natafuta kazi ya dukani, nina uzoefu nayo, nimefanya sehemu tofauti tofauti. naombeni mnisaidie ndugu zangu 0784219297
Jinsia , umri ?
 
Sasa hizo sehemu tofauti baadaye zikawaje ama uliwapiga,
Dukani yaani mtu akuweke dukani ama uwe unakaa nje ivi Kama kutoa mzigo nje na kuirudisha, Kuna jamaa hapa akaibiwa na mtu kwa miamala alimpa kijana kazi,
Sikuwapiga ,mtu anaweza kuacha kazi kwasababu tofauti tofauti. Pia Nimeelezea uzoefu nilionao, nimefanya kazi kwenye duka la nguo, na duka la kuuza vifaa vya kutengenezea viatu vya kimasai
 
Back
Top Bottom