Nuru Godson
New Member
- Feb 1, 2025
- 3
- 1
Jinsia , umri ?Habarini ndugu zangu, kwa majina naitwa Nuru, mkazi wa Dar es salaam, Kimara Korogwe.
Natafuta kazi ya dukani, nina uzoefu nayo, nimefanya sehemu tofauti tofauti. naombeni mnisaidie ndugu zangu 0784219297
Mwanamke, 25Jinsia , umri ?
Sikuwapiga ,mtu anaweza kuacha kazi kwasababu tofauti tofauti. Pia Nimeelezea uzoefu nilionao, nimefanya kazi kwenye duka la nguo, na duka la kuuza vifaa vya kutengenezea viatu vya kimasaiSasa hizo sehemu tofauti baadaye zikawaje ama uliwapiga,
Dukani yaani mtu akuweke dukani ama uwe unakaa nje ivi Kama kutoa mzigo nje na kuirudisha, Kuna jamaa hapa akaibiwa na mtu kwa miamala alimpa kijana kazi,
Hujajibu yoteSikuwapiga ,mtu anaweza kuacha kazi kwasababu tofauti tofauti. Pia Nimeelezea uzoefu nilionao, nimefanya kazi kwenye duka la nguo, na duka la kuuza vifaa vya kutengenezea viatu vya kimasai