Natafuta kazi ya fundi sanifu msaidizi wa maabara, kwa sasa nipo bila kazi baada ya kumaliza mkataba wangu na project ya kimarekani iliyokuwainajishughulisha na utafiti wa malaria.
Nina experience kubwa katika kazi hiyo hasa upande wa malaria sababu nilifanya kazi ya utafiti wa malaria zaidi ya miaka 5.
Ni mchapakazi mzuri.
Atakaye nihitaji tuwasiliane kwa njia ya sms kupitia namba ya 0786135070 au e.mail address "frankgodlisten@yahoo.com".
Naishi Dar maeneo ya Mbezi beach.