Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Nakushauri u-showcase yale uliyofanya kwenye mambo ya graphics!! Waajiri watatathmini wenyewe. Unaweza kupiga au ku-scan picha na kuzi-upload hapahapa JF wajionee: http://pichaz.jamiiforums.com/ katika kuonesha ufundi na ubunifu wako.
Kila la kheri ndugu!
Kaka jiunge na wenzako wanakuwa pale Stambuli Cafe millenium tower pale utawakuta manguli wa graphics wakifanya kazi zao binafsi na wana network ya kupata hizo kazi kibao so jitahidi kujongea kwenye hicho kijiwe,kunetwork ni muhimu katika issue yoyote
Jamani naombeni msaada wenu, mimi natafuta kazi ya graphics design, kazi nitakayoweza kufanya ni ya PART TIME,naipenda hii kazi na nina uzoefu nalo wa mwaka mmoja na nusu.Nina uwezo wa kutengeneza gazeti (page layouts),vitabu, magazine,logo designing,vipeperushi na matangazo mbalimbali.
Yeyote mwenye kuweza kunipa taarifa ya nafasi ya kazi na kunipatia nitashukuru sana.
Mungu awabariki.