Natafuta kazi ya human resource manager/officer or administrative officer

Natafuta kazi ya human resource manager/officer or administrative officer

mwankuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
334
Reaction score
120
Salamu wana familia ya jamiiforum,naomba mnisaidie wadau,natafuta kazi tajwa hapo juu,nina bachelor ya Public Administration
 
tuma maombi kwenye Tume ya utumishi wa UMMA wanaweza kukupa nafasi ya afisa utumishi kule tume ya utumishi wa walimu, ila rekebisha tittle yako wewe una Bachelor Degree huwezi kuwa Manager katika field hiyo utaanza kama officer mkuu.
 
Mdau nashukuru sana kwa ushauri huo,nitjaribu kufanya hivyo,pamoja sana.
 
tuma maombi haraka east african community kuna kazi zinakufaa sana
 
Back
Top Bottom