mwankuga JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 334 Reaction score 120 Aug 31, 2010 #1 Salamu wana familia ya jamiiforum,naomba mnisaidie wadau,natafuta kazi tajwa hapo juu,nina bachelor ya Public Administration
Salamu wana familia ya jamiiforum,naomba mnisaidie wadau,natafuta kazi tajwa hapo juu,nina bachelor ya Public Administration
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,692 Reaction score 3,891 Sep 1, 2010 #2 tuma maombi kwenye Tume ya utumishi wa UMMA wanaweza kukupa nafasi ya afisa utumishi kule tume ya utumishi wa walimu, ila rekebisha tittle yako wewe una Bachelor Degree huwezi kuwa Manager katika field hiyo utaanza kama officer mkuu.
tuma maombi kwenye Tume ya utumishi wa UMMA wanaweza kukupa nafasi ya afisa utumishi kule tume ya utumishi wa walimu, ila rekebisha tittle yako wewe una Bachelor Degree huwezi kuwa Manager katika field hiyo utaanza kama officer mkuu.
mwankuga JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 334 Reaction score 120 Sep 2, 2010 Thread starter #3 Mdau nashukuru sana kwa ushauri huo,nitjaribu kufanya hivyo,pamoja sana.
S Subira Senior Member Joined Mar 7, 2009 Posts 190 Reaction score 52 Sep 2, 2010 #4 tuma maombi haraka east african community kuna kazi zinakufaa sana
F furahaasid New Member Joined Sep 8, 2010 Posts 1 Reaction score 0 Sep 8, 2010 #5 hello, kama watafuta kazi ya human resource office tumia hii link ya ictr imetangaza kazi International Criminal Tribunal for Rwanda - UNICTR > Home pale chini click ictr opportunities
hello, kama watafuta kazi ya human resource office tumia hii link ya ictr imetangaza kazi International Criminal Tribunal for Rwanda - UNICTR > Home pale chini click ictr opportunities