Davies_007
Member
- Apr 22, 2010
- 59
- 0
Jamani Mambo Vipi? Natafuta Kazi ya ICT
Nina Adv Ya Computer science Pia Nina
MSCE ( Microsoft Certified Systems Engineer )
Jamani Mambo Vipi? Natafuta Kazi ya ICT
Nina Adv Ya Computer science Pia Nina
MSCE ( Microsoft Certified Systems Engineer )
Naomba kufahamu wakuu,kwa mtu mwenye CCNA(Cisco Certified Network Associate) naKama una Adv Diplma ya ICT na MCSE ukitumia official chennel huwezi kukosa kazi within six month to come. Usiwe selective . soma sana daily news na the guardian.
Ebu tueleza wakati unasoma ulifanya Project gani?
Ikiwa ndugu yangu unayo adv ya Computer Engineering, kwa nini hujiajiri mwenyewe kwa kufungua website yako na kutangaza ujuzi wako, kufanya programming, web design n.k?
Pia unweza kutafuta kwenye mitandao mbalimbali. Lililo zuri zaidi ni kuwa unaweza kuifanyakazi kampuni mtu yeyote popote duniani alipo ukiwepo nyumbani TZ.
Keep up!