Natafuta kazi ya IT Technician

Natafuta kazi ya IT Technician

kavishe

Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Natafuta kazi ya IT Technician,

Nina International Diploma in Computer Engineering na nimesoma katika chuo cha New Horizons www.newhorizons.com
mimi ni mzoefu sana wa computer. kwa mawasiliano utanipata kwa Number +255718337441 or +255769439796!
nitashukuru kwa ushirikiano wako!
 
Back
Top Bottom