D Davies lyimo Member Joined Mar 28, 2011 Posts 9 Reaction score 0 Apr 7, 2011 #1 Nipo moshi na ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi.Sasa natafuta watu watakaopenda kujifunza Kuzungumza,kuandika na kusoma lugha ya kiitaliano au kihispania.
Nipo moshi na ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi.Sasa natafuta watu watakaopenda kujifunza Kuzungumza,kuandika na kusoma lugha ya kiitaliano au kihispania.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Apr 7, 2011 #2 sasa wanafunzi tunakupataje?
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Apr 7, 2011 #3 Una darasa na kama unalo liko wapi. Kama huna tafuta darasa ili iwe rahisi kupata wanafunzi.
E Eddy Bablon Member Joined Jan 10, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Jan 15, 2012 #4 mimi nahitaji kujifunza hizo language.